Mbuni (mmea)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mbuni
(Coffea spp.)
Mbuni
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Gentianales
Familia: Rubiaceae (Mimea iliyo mnasaba na mbuni)
Jenasi: Coffea
L.
Spishi: C. arabica L.

C. benghalensis
C. canephora Pierre ex. Froehn.
C. charrieriana Stoff.
C. congensis Froehn.
C. excelsa L.
C. liberica Hiern
C. stenophylla G. Don

Mbuni (Coffea spp.) ni mti au kichaka ambacho matunda yake (buni) huchomwa na kusagwa ili kutengeneza kahawa.

Inaaminika kuwa asili ya mmea huu ni nchini Ethiopia.[1]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Greentree.jpg Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbuni (mmea) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.