14 Juni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Juni 14)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 14 Juni ni siku ya 165 ya mwaka (ya 166 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 200.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1502 - Vasco da Gama anafikia bandari ya Sofala (Msumbiji) katika safari yake ya pili kutoka Ureno kwenda Uhindi
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1868 - Karl Landsteiner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1930
- 1924 - James Black, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
- 1946 - Donald Trump, mfanyabiashara na Rais wa Marekani
- 1993 - Thomas Ulimwengu, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1905 - Tippu Tip, mfanyabiashara kutoka Tanzania
- 1914 - Adlai Stevenson, Kaimu Rais wa Marekani (1893-1897)
- 1968 - Salvatore Quasimodo, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1959
- 1986 - Jorge Luis Borges, mwandishi kutoka Argentina
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu nabii Elisha, Proto wa Aquileia, Valeri na Rufini, Fortunati wa Napoli, Eteri wa Vienne, Metodi I wa Konstantinopoli, Anastasi, Felisi na Digna n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |