Adlai Stevenson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adlai E. Stevenson

Adlai Ewing Stevenson (23 Oktoba 183514 Juni 1914) alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Grover Cleveland kuanzia mwaka wa 1893 hadi 1897. Stevenson alikuwa mwenyeji wa jimbo la Illinois akawasilisha jimbo hilo katika bunge la kitaifa miaka 1875-1877.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adlai Stevenson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.