Thomas Ulimwengu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas Ulimwengu
Maelezo binafsi
Jina kamili Thomas Emmanuel Ulimwengu
Tarehe ya kuzaliwa
Mahala pa kuzaliwa    Tanga, Tanzania
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Tanzania Soccer Academy
Namba 11
Klabu za vijana
2008-2010 Tanzania Soccer Academy
Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
2009-2010 Moro United
Timu ya taifa
2009-2010 Tanzania

* Magoli alioshinda

Thomas Emmanuel Ulimwengu ,(alizaliwa 14 Juni 1993), ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anacheza timu ya Tanzania Soccer Academy na pia hucheza timu ya taifa ya Tanzania na timu ya Taifa U-20 ya Tanzania, yaani, chini ya miaka 20.

Timu ya taifa ya Tanzania U-17[hariri | hariri chanzo]

Katika mashindano ya Cecafa 2009 U-17 Championship yaliyofanyika Sudan alijinyakulia ubingwa wa mfungaji bora katika mashindano hayo. Timu yake ya taifa ya Tanzania ilichukua nafasi ya Tatu katika mashindano hayo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]