Eneo bunge la Kandara
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kandara ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge saba katika Kaunti ya Murang'a.
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Bildad Kaggia | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1966 | Thaddeo Mwaura | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1969 | George Ndung’u Mwicigi | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1974 | George Ndung’u Mwicigi | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1979 | George Ndung’u Mwicigi | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1980 | David Ngethe Waweru | KANU | Uchaguzi mdogo, Mfumo wa chama kimoja |
1983 | George Ndung’u Mwicigi | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1988 | Wilson Mburu Kimani | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1992 | Gacuru wa Karenge | Ford-Asili | |
1997 | Joshua Ngugi Toro | Democratic Party (DP) | |
2002 | Joshua Ngugi Toro | NARC | |
2007 | James Maina Kamau | PNU |
Wadi
[hariri | hariri chanzo]' | ||
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa | Mamlaka ya mtaa |
---|---|---|
Gakui / Karimamwaro | 3,550 | Mji wa Kandara |
Gathugu / Ruchu / Gakarara | 2,629 | Mji wa Kandara |
Gatundu / Kiiri / kandara | 3,743 | Mji wa Kandara |
Kaguthi / Githuya | 4,139 | Mji wa Kandara |
Gaichanjiru | 8,773 | Baraza la mji wa Maragua |
Kagunduini | 11,254 | Baraza la mji wa Maragua |
Muruka | 17,895 | Baraza la mji wa Maragua |
Ruchu | 17,485 | Baraza la mji wa Maragua |
Jumla | 69,468 | |
*Septemba 2005 | [2] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kandara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |