Kitabu cha Pili cha Wafalme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka 2Fal)
Jump to navigation Jump to search

Kitabu cha pili cha Wafalme ni sehemu ya Tanakh (Biblia ya Kiebrania na ya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Hugawiwa kwa sura 25.

Historia ya kitabu[hariri | hariri chanzo]

Zamani kilikuwa kitabu kimoja pamoja na Wafalme I lakini katika Septuaginta viligawiwa. Wataalamu huamini hii ilitokea kutokana na urefu wa kitabu si kwa sababu za yaliyomo au mpangilio.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Yaliyomo[hariri | hariri chanzo]

Kinasimulia habari za sehemu mbili za Israel ya Kale baada ya ugawaji wa milki yaani

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Vitabu vya Agano la Kale

Mwanzo Kutoka Walawi Hesabu Kumbukumbu Yoshua Waamuzi Ruthu Samueli I Samueli II Wafalme I Wafalme II Mambo ya Nyakati I Mambo ya Nyakati II Ezra Nehemia TobitiDK YudithiDK Esta Wamakabayo IDK Wamakabayo IIDK Yobu Zaburi Methali Mhubiri Hekima DK SiraDK Wimbo Bora Isaya Yeremia Maombolezo BarukuDK Ezekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki - Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.