15 Oktoba
Mandhari
(Elekezwa kutoka 15. 10.)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 15 Oktoba ni siku ya 288 ya mwaka (ya 289 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 77.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1582 - Siku ya kwanza iliyohesabiwa katika Kalenda ya Gregori. Ilifuata tarehe 4 Oktoba ya Kalenda ya Juliasi
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1809 - Khachatur Abovyan, mwandishi kutoka Armenia
- 1938 - Fela Kuti, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 1940 - Peter Doherty, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1996
- 1959 - Mwadini Abbas Jecha, mbunge wa Tanzania
- 1980 - Edgar Ngelela, msanii na mwanamuziki kutoka Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1389 - Papa Urban VI
- 1987 - Thomas Sankara, Rais wa Burkina Faso (1983-1987), aliuawa
- 2000 - Konrad Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Teresa wa Yesu, Barsen, Severi wa Trier, Tekla wa Kitzingen, Magdalena wa Nagasaki n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |