Robert Schumann
Mandhari
Robert Schumann (Zwickau, Saxony, 8 Juni 1810 - 29 Julai 1856) alikuwa mtunzi maarufu wa sanaa mbalimbali kutoka Ujerumani. Aliishi wakati wa Romantic (zama za nyimbo maarufu za karne ya 18-19).
Alisitisha mpango wake wa kuwa mpigakinanda katika kumbi kwa sababu ya jeraha alilokuwa nalo katika mkono. Alichapisha magazeti ya muziki na kuandika makala chungu nzima zinazohusu miziki yote aliyotunga na kuimba.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Ostwald, Peter (1985). Schumann, The Inner Voices of a Musical Genius. Northeastern University Press. ISBN 1-55553-014-1.
- Perrey, Beate (ed.), John (2007). Robert Schumann: Life and Death of a Musician. Yale University Press. ISBN 0300111606.
{{cite book}}
:|author=
has generic name (help)2007|isbn=0521789508}}
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Robert Schumann (1810-1856) Ilihifadhiwa 31 Desemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Complete list of works
- Musical Rules at Home and in Life - Text by Robert Schumann
- Robert Schumann: Then, Now and Always comprehensive website
- The Davidsbündler against the Philistines
- Robert Schumann Society, Düsseldorf
- Shughuli au kuhusu Robert Schumann katika maktaba ya WorldCat catalog
- German Label Troubadisc with SACD release and Biography of Robert Schumann Ilihifadhiwa 18 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
Nakala ya miziki yake
[hariri | hariri chanzo]- www.kreusch-sheet-music.net Schumann's complete Piano Works
- Schubertline Ilihifadhiwa 12 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine. Schumann's songs in the Schubertline (digital) edition
- Robert Schumann ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
- Free scores by Robert Schumann katika Choral Public Domain Library (ChoralWiki)
- Schumann's Scores by Mutopia Project
- Works by Robert Schumann katika Project Gutenberg
- Free scores by Robert Schumann katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
Rekodi zake na baadhi ya faili za MIDI
[hariri | hariri chanzo]- Schumann cylinder recordings, from the Cylinder Preservation and Digitization Project at the University of California, Santa Barbara Library.
- Recording of Kinderszenen (Scenes from Childhood)
- works for organ or pedal piano by Schumann played on a virtual organ Ilihifadhiwa 26 Julai 2010 kwenye Wayback Machine.
- Selected Lieder (MIDI)
- Kunst der Fuge Robert Schumann - MIDI files
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Schumann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |