Black or White
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| “Black or White” | |||||
|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
| Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Dangerous |
|||||
| Imetolewa | 11 Oktoba 1991 | ||||
| Muundo | 7" single 12" single CD single |
||||
| Imerekodiwa | 1990 | ||||
| Aina | Hard rock |
||||
| Urefu | 3:22 (haririo la redio) 4:16 (toleo la albamu) |
||||
| Studio | Epic | ||||
| Mtunzi | Michael Jackson | ||||
| Mtayarishaji | Michael Jackson | ||||
| Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
|||||
"Black or White" ilikuwa single ya kwanza kuchukuliwa kwenye albamu ya Michael Jackson ya Dangerous, imetoka kunako mwezi wa Oktoba katika mwaka wa 1991. Single hii ilipata kusifiwa kwamba ni wimbo bora wa rock uliouza sana kwenye miaka ya 1990. "Black or White" ni mchanganyiko wa hard rock, dance na rap.
Umetungwa, na kuandaliwa na Jackson na mashairi ya rap yameimbwa na Bill Bottrell. Wimbo huu unazungumzia hali ya kuungana kirangi.
Wimbo umeshika nafasi ya kwanza katika chati za US Billboard Hot 100 na UK Singles Chart, na vilevile imeshika chati kadhaa kwenye nchi zingine 18.
Yaliyomo |
Historia[hariri]
Orodha ya nyimbo[hariri]
Toleo halisi[hariri]
- "Black or White" (7" Version) – 3:22
- "Black or White" (Instrumental) – 3:22
- "Smooth Criminal" – 4:10
Toleo la Visionary[hariri]
- CD side
- "Black or White" (Single version) – 3:22
- "Black or White" (Clivillés & Cole House Guitar Radio Mix) – 3:50
- DVD side
- "Black or White" (muziki wa video)
Chati[hariri]
| Chati (1991) | Nafasi iliyoshika |
|---|---|
| Marekani - US Billboard Hot 100 | 1 |
| Uingereza - UK Singles Chart | 1 |
| Australia | 1 |
| Brazil | 1 |
| Ubelgiji | 1 |
| Kanada | 1 |
| Ufaransa | 1 |
| Ireland | 1 |
| Italia | 1 |
| New Zealand | 1 |
| Norwei | 1 |
| Singapore | 1 |
| Hispania | 1 |
| Sweden | 1 |
| Swiss Singles Chart | 1[1] |
| Austria | 1 |
| Ujerumani | 1 |
| Denmark | 1 |
| Uholanzi | 1 |
| Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
| Austrian Singles Chart | 17 |
| Danish Singles Chart | 22 |
| New Zealand Singles Chart | 16[2] |
| Norwegian Singles Chart | 18[3] |
| Swiss Singles Chart | 7[1] |
| UK Singles Chart | 25[4] |
Matunukio[hariri]
| Nchi | Matunukio | Mauzo |
|---|---|---|
| Marekani | Platinum | 1,000,000 |
| Australia | 2xPlatinum[5] | 140,000[5] |
| New Zealand | Platinum[2] | 15,000[2][6] |
Marejeo[hariri]
- ↑ 1.0 1.1 Swiss Singles Chart Archives. hitparade.ch. Rudishwa juu ya 18 Julai 2009.
- ↑ 2.0 2.1 2.2 The Official New Zealand Music Chart. Recording Industry Association of New Zealand (RIANZ) (6 Julai 2009). Rudishwa juu ya 10 Julai 2009.
- ↑ VG-Lista Topp 20. Vakthavende Journalist (VG) (2009). Rudishwa juu ya 7 Julai 2009.
- ↑ UK Singles Chart. The Official UK Charts Company (Julai 11, 2009). Rudishwa juu ya 11 Julai 2009.
- ↑ 5.0 5.1 Aria 50 Top Singles Charts. Australian Recording Industry Association (ARIA) (6 Julai 2009). Rudishwa juu ya 10 Julai 2009.
- ↑ The Official New Zealand Music Chart: Charts Facts. Recording Industry Association of New Zealand (RIANZ) (6 Julai 2009). Rudishwa juu ya 10 Julai 2009.
Viungo vya Nje[hariri]
| Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Black or White kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
