Man in the Mirror

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Man in the Mirror”
“Man in the Mirror” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Bad
Imetolewa 18 Januari 1988
Muundo CD single
Imerekodiwa 1987
Aina Soul
Urefu 5:18 (toleo la albamu)
5:03 (haririo la single)
Studio Epic Records
Mtunzi Siedah Garrett
Glen Ballard
Mtayarishaji Michael Jackson na Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"The Way You Make Me Feel"
(1987)
"Man in the Mirror"
(1988)
"Dirty Diana"
(1988)

"Man in the Mirror" ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na Michael Jackson. Wimbo umetungwa na Siedah Garrett na Glen Ballard na kutayarishwa na Michael mwenyewe akiwa sambamba kabisa na Quincy Jones. Wimbo huu ulipata kushika nafasi ya kwanza nchini Marekani wakati unatolewa mnamo 1988. Wimbo unatoka katika albamu yake ya saba ya mwaka wa 1987, Bad.

Maelezo kuhusiana na wimbo[hariri | hariri chanzo]

Huu ni miongoni mwa nyimbo maarufu za Jackson na uliwahi kuchaguliwa kuwa kama Rekodi ya Mwaka katika kipindi cha ugawaji wa tuzo za Grammy Awards. Wimbo huu ulipata kupigwa sana kwenye maredio/matv na kuweza kushika nafasi ya juu kabisa katika chati za Billboard Hot 100 kwa wiki mbili. Kibao hiki kilipata sifa za wastani nchini Uingereza wakati kinatoka, na kiliweza kushika nafasi ya 21 na kuifanya iwe single kutoka katika albamu Bad kutofika kwenye UK Top 20 katika kutolewa kwa mara ya kwanza. Eti baada ya kufa, kunako 5 Julai 2009, kwa kufuatia habari za kifo cha Jackson, wimbo umepata kushika nafasi ya 2 kwenye chati rasmi za UK Singles Chart.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1988) Nafasi
iliyoshika
Australia 39
Austria 10
Kanada 6
Ujerumani 23
Uholanzi 13
Ireland 3
Israel 2
UK Singles Chart 21
US Billboard Hot 100 1
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart 8
Austrian Singles Chart 17
Danish Singles Chart 12
Irish Singles Chart 3
New Zealand Singles Chart 9
Norwegian Singles Chart 15
Spanish Singles Chart 50
Swedish Singles Chart 19
Swiss Singles Chart 22[1]
UK Singles Chart 2
UK R&B Chart 1
US Billboard Hot Digital Songs[2] 3

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Man In The Mirror" (Single Mix) – 5:03
  2. "Man In The Mirror" (Album Mix) – 5:17
  3. "Man In The Mirror" (Instrumental) – 5:03

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Swiss Singles Chart Archives. hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-21.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]