Billie Jean

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
“Billie Jean”
“Billie Jean” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Thriller
B-side "It's the Falling in Love"/"Can't Get Outta the Rain"
Imetolewa 2 Januari, 1983
Muundo 7" single
Imerekodiwa 1982
Aina Dance-pop, R&B, Funk
Urefu 4:54
Studio Epic Records
Mtayarishaji Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"The Girl Is Mine"
(1982)
"Billie Jean"
(1983)
"Beat It"
(1983)

"Billie Jean" ni wimbo wa dance-pop R&B wa msanii wa rekodi wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu ulitungwa na Jackson na kutayarishwa na Quincy Jones kwa ajili ya albamu yake ya sita ya Thriller (1982). Yenyewe haikupendwa na Jones, wimbo huu almanusura itolewa kwenye albamu baada ya yeye na Jackson kuwa na malumbano kadhaa. Mashairi yaliyomo wimboni yanahusu maisha halisi ya kibinadamu, ambamo inazungumzia mwanamke mmoja mgonjwa wa kichaa anayedai kwamba Jackson amezaa naye watoto mapacha. Wimbo unajulikana sana kwa besi lake na staili ya sauti ya Jackson.

Yaliyomo

[hariri] Chati

Chati (1983) Nafasi
iliyoshika
Austrian Singles Chart 2
French Singles Chart 45[1]
German Singles Chart 2[2]
Irish Singles Chart 1[3]
Italian Singles Chart 7[4]
Netherlands Singles Chart 4[5]
Norwegian Singles Chart 6[6]
Spanish Singles Chart 1[7]
Swedish Singles Chart 2[8]
Swiss Singles Chart 1[9]
UK Singles Chart 1
US Billboard Hot 100 1
US R&B Singles Chart 1
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart 7[10]
Austrian Singles Chart 15
Danish Singles Chart 9[11]
Dutch Singles Chart 21[12]
Finnish Singles Chart 11[13]
Irish Singles Chart 11[14]
Italian Singles Chart 5[15]
New Zealand Singles Chart 15[16]
Norwegian Singles Chart 5[17]
Turkey Top 20 Chart 9[18]
UK Singles Chart 10[19]
U.S. Billboard Hot Digital Songs[20] 4

[hariri] Matunukio

Nchi Matunukio Mauzo
New Zealand Gold[21] 7,500

[hariri] Maelezo

  1. French Singles Chart Archives. lescharts.com. Rudishwa juu ya February 21, 2009.
  2. German Singles Chart Archives. charts-surfer.de. Rudishwa juu ya February 24, 2009.
  3. http://www.irishcharts.ie/search/placement
  4. Italian Singles Chart Archives. italiancharts.com. Rudishwa juu ya February 21, 2009.
  5. Dutch Singles Chart Archives. dutchcharts.nl. Rudishwa juu ya February 21, 2009.
  6. Norwegian Singles Chart Archives. norwegiancharts.com. Rudishwa juu ya February 21, 2009.
  7. Spanish Singles Chart Archives. spanishcharts.com. Rudishwa juu ya February 21, 2009.
  8. Swedish Singles Chart Archives. swedishcharts.com. Rudishwa juu ya February 21, 2009.
  9. Swiss Singles Chart Archives. hitparade.ch. Rudishwa juu ya February 21, 2009.
  10. http://www.ariacharts.com.au/pages/charts_display.asp?chart=1U50
  11. Danish Singles Chart.
  12. Dutch Singles Chart.
  13. Suomen virallinen lista
  14. Irish Singles Chart.
  15. Italian Singles Chart.
  16. New Zealand Singles Chart.
  17. Norwegian Singles Chart.
  18. Billboard Türkiye Top 20 (Turkish). Billboard Türkiye (July 6, 2009). Rudishwa juu ya 2009-07-06.
  19. Singles chart for 04/07/2009. Chart Stats. Rudishwa juu ya 2 July 2009.
  20. Billboard Hot Digital Songs
  21. http://www.rianz.org.nz/rianz/chart.asp

[hariri] Marejeo

[hariri] Viungo vya Nje

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Billie Jean kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine