You Rock My World

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“You Rock My World”
“You Rock My World” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Invincible
Imetolewa 23 Oktoba 2001
Muundo CD single
Imerekodiwa 2000
Aina R&B, Funk
Urefu 5:38 [Album Version]
4:25 [Radio Mix]
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Rodney Jerkins
Fred Jerkins III
LaShawn Daniels
Nora Payne
Mtayarishaji Michael Jackson
Rodney "Darkchild" Jerkins
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"HIStory/Ghosts"
(1997)
"You Rock My World"
(2001)
"Cry"
(2001)

"You Rock My World" ni wimbo wa msanii wa rekodi za muziki wa pop kutoka nchini Marekani, Michael Jackson. Hii ilikuwa single yake ya kwanza kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 2001, Invincible. Wimbo umeshika #10 kwenye chati za Billboard na Hot 100, na kuufanya iwe wimbo wa mwisho wa Jackson kuingia kwenye kumi bora za nchini Marekani.

Pia, wimbo ulipata kuchaguliwa kuingia kwenye ugawaji wa tuzo za Grammy Award kwa ajili ya Mwimbaji Bora wa Kiume wa Pop. Muziki wa video wa wimbo huu ndiyo wa mwisho kuonekana kwa Jackson kwenye albamu hii; wimbo unaofuata ni "Butterflies", haukuwa na video, na hakuonekana kwenye video ya wimbo wa "Cry". Huu ulikuwa wimbo pekee kutoka kwenye albamu yake ya Invincible kuwahi kuuimba laivu. Wimbo huu unatazamiwa kama miongoni mwa vibao vikali vya mwisho vya Jackson kutamba kabla ya kifo chake.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (2001) Nafasi
Iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 9
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 13
UK Singles Chart 2
Irish Singles Chart 4
Australian ARIA Singles Chart 4
New Zealand RIANZ Singles Chart 13
Italian Singles Chart 3
Romanian Singles Chart[1] 9
Danish Singles Chart 2
Norwegian Singles Chart 2
Finnish Singles Chart 2
Swedish Singles Chart 5
Belgium Flanders Singles Chart 4
Belgium Walonia Singles Chart 2
Dutch Singles Chart 2
French Singles Chart 1
Austrian Singles Chart 9
Swiss Singles Chart 5[2]
Chati (2009) Nafasi
Iliyoshika
Swiss Singles Chart 46[2]
UK Singles Chart 60

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

US single[hariri | hariri chanzo]

  1. Intro - 0:32
  2. "You Rock My World" (Album Version) – 5:08
  3. "You Rock My World" (Radio edit) – 4:28
  4. "You Rock My World" (Instrumental) – 5:07
  5. "You Rock My World" (A cappella) – 5:00

UK single[hariri | hariri chanzo]

  1. Intro/"You Rock My World" – 5:39
  2. "You Rock My World" (Radio edit) – 4:25
  3. "You Rock My World" (Instrumental) – 5:06
  4. "You Rock My World" (A cappella) – 4:47

Toleo la Kihispania[hariri | hariri chanzo]

  1. "El Mundo Frente A Ti Akiwa na Jayko (Michael Jackson Tribute) - 3:49

Single za Ulaya na Australia[hariri | hariri chanzo]

  1. Intro – 0:32
  2. "You Rock My World" (Album version) – 5:07
  3. "You Rock My World" (Radio edit) – 4:25
  4. "You Rock My World" (Instrumental) – 5:07
  5. "You Rock My World" (A cappella) – 5:01

Official remix featuring Jay-Z

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Romanian Top 100". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-30. Iliwekwa mnamo 2009-08-04. 
  2. 2.0 2.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu You Rock My World kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.