Liberian Girl
| “Liberian Girl” | |||||
|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
| Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Bad |
|||||
| Imetolewa | 3 Julai 1989 | ||||
| Muundo | CD single | ||||
| Imerekodiwa | Januari 1987 | ||||
| Aina | R&B, Adult contemporary | ||||
| Urefu | 4:01 | ||||
| Studio | Epic Records | ||||
| Mtayarishaji | Michael Jackson na Quincy Jones | ||||
| Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
|||||
"Liberian Girl" kilikuwa kibao cha tisa na cha mwisho kutolewa na Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1987 ya Bad. Kibao kimetungwa na Michael na kutayarishwa na Quincy Jones. Kibao hiki Jackson alikitunga kwa ajili ya marafiki zake wa karibu, Elizabeth Taylor (Msichana wa Kiliberia).
Yaliyomo |
Michakaliko yake katika chati [hariri]
| Chati (1989) | Nafasi iliyoshika |
|---|---|
| Australian Singles Chart | 50 |
| Dutch Top 40 | 14 |
| French Singles Chart | 15 |
| Irish Singles Chart | 1 |
| Swiss Singles Chart | 12[1] |
| UK Singles Chart | 13 |
| Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
| Swiss Singles Chart | 36[1] |
| UK Singles Chart | 86[2] |
Muziki wa video [hariri]
Muziki wa video wa Liberian Girl umeongozwa na Jim Yukich, video yake imeshirikisha watu mashuhuri wengi sana ambao ni marafiki wa Jackson, ambao wanaonekana kusubiri kupigwa wa video ya wimbo wa "Liberian Girl". Baadaye ikagundulika kwamba yeye ndiye aliyekuwa akiwachukua luningani wote wale. [3] Kama jinsi ilivyotajwa kule mwishoni mwa wimbo, waliopata kuonekana ni pamoja na:
- Paula Abdul
- Rosanna Arquette
- Dan Aykroyd
- Mayim Bialik
- Bubbles
- Jackie Collins
- David Copperfield
- Emily Dreyfuss
- Richard Dreyfuss
- Corey Feldman
- Lou Ferrigno
- Debbie Gibson
- Danny Glover
- Steve Guttenberg
- Jasmine Guy
- Whoopi Goldberg
- Sherman Hemsley
- Olivia Hussey
- Amy Irving
- Malcolm-Jamal Warner
- Beverly Johnson
- Quincy Jones
- Don King
- Virginia Madsen
- Olivia Newton-John
- Brigitte Nielsen
- Lou Diamond Phillips
- Ricky Schroder
- Steven Spielberg
- Suzanne Somers
- John Travolta
- Blair Underwood
- Carl Weathers
- Billy Dee Williams
- "Weird Al" Yankovic
Waliosampo [hariri]
Wimbo umewahi kutumiwa baadhi ya vipengele kwenye nyimbo ya 2Pac ya "Letter 2 My Unborn" na "The Thug in Me" (Toleo Halisi), MC Lyte kwenye "Keep on Keepin' On", Jennifer Lopez kwenye "If You Had My Love" (Dark Child Master Mix), Roi Heenok kwenye "La coka coka" na Mac Dre kwenye "Black Buck Rogers".
Marejeo [hariri]
- ↑ 1.0 1.1 Swiss Singles Chart Archives. hitparade.ch. Rudishwa juu ya 18 Julai 2009.
- ↑ UK Singles Chart. The Official UK Charts Company. Rudishwa juu ya 6 Julai 2009.
- ↑ mvdbase.com - Michael Jackson - "Liberian girl".
Viungo vya Nje [hariri]
- Official video on a website from Sony BMG
| Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Liberian Girl kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
