HIStory: Past, Present and Future, Book I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
HIStory: Past, Present and Future, Book I
HIStory: Past, Present and Future, Book I Cover
Studio album / compilation album ya Michael Jackson
Imetolewa 20 Juni 1995
Imerekodiwa 1978–1995
Aina R&B, dance, dance-pop, urban, Pop rock, new jack swing, funk[1]
Urefu 148:45
Lebo Epic
EK-59000
Mtayarishaji Michael Jackson,
James Harris,
Janet Jackson, Terry Lewis, Dallas Austin, David Foster, Bill Bottrell, R. Kelly,
Teddy Riley
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
Dangerous
(1991)
HIStory: Past, Present and Future, Book I
(1995)
Invincible
(2001)
Single za kutoka katika albamu ya HIStory
  1. "Scream/Childhood"
    Imetolewa: 31 Mei 1995
  2. "You Are Not Alone"
    Imetolewa: 15 Agosti 1995
  3. "Earth Song"
    Imetolewa: 27 Novemba 1995
  4. "They Don't Care About Us"
    Imetolewa: 8 Aprili 1996
  5. "Stranger in Moscow"
    Imetolewa: 4 Novemba 1996

HIStory: Past, Present and Future, Book I (kikawaida hufupishwa HIStory) ni albamu mbili za Michael Jackson, zilizotolewa mnamo tar. 20 Juni 1995, na ni albamu ya tisa ya Jackson. CD ya kwanza, iliitwa "HIStory Begins" ambayo imekusanya vibao vyake vikali vya miaka kumi na tano iliyopita, wakati ya pili, iliitwa "HIStory Continues" imekuja na nyimbo mpya, moja wapo ni "Come Together", ambayo ilirekodiwa mwaka wa 1987.

HIStory imetajwa kuwa ni toleo la albamu-mbili-mbili lililoza vizuri kuliko zote, ikiwa na hesabu ya mauzo ya nakala milioni 20 kwa hesabu ya dunia nzima (na milioni 40 kwa hesabu ya moja-moja). Albamu pia imeshinda tuzo moja ya Grammy kwa ajili ya video ya — "Scream." CD ya kwanza ya vibao vyake vikali ilitolewa mnamo mwaka wa 2001 ikiwa kama CD moja na ilikwenda kwa jina la Greatest Hits: HIStory, Vol. 1.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Chati zake na matunukio[hariri | hariri chanzo]

Chati[2] Nafasi
Iliyoshika
Matunukio Mauzo/Nchi za nje
Argentina Platinum[3] 200,000[3]
Australia 1 7× platinum[4] 490,000[5]
Austria 2 2× platinum[6] 80,000[7]
Belgium 1
Canada 5× platinum[8] 500,000[9]
Europe 6× platinum[10] 6 million[11]
Finland 3 Platinum[12] 61,352[12]
France 1 Diamond[13] 1 million[13]
Germany[14] 1 3× platinum[15] 1.5 million[16]
Netherlands 1 3× platinum[17] 240,000[7]
New Zealand 1 10× platinum 150,000
Norway 1 Platinum[18] 40,000[7]
Sweden 3 Platinum[19] 60,000[7]
Switzerland 1 3× platinum[20] 150,000[20]
United Kingdom[21] 1 4× platinum[22] 1.2 million
United States[23] 1 7× platinum[24] 3.5 million

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

HIStory Begins (Disc 1)[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo zote zimetungwa na Michael Jackson, kasoro zile zilizowekwa maelezo;

  1. Billie Jean - 4:54
  2. The Way You Make Me Feel - 4:57
  3. Black or White (Jackson/Bill Bottrell) - 4:15
  4. Rock with You (Rod Temperton) - 3:40
  5. She's out of My Life (Tom Bahler) - 3:38
  6. Bad - 4:07
  7. I Just Can't Stop Loving You - 4:12
  8. Man in the Mirror (Glen Ballard/Siedah Garrett) - 5:19
  9. Thriller (Temperton) - 5:57
  10. Beat It - 4:18
  11. The Girl is Mine (akimsh. Paul McCartney) - 3:41
  12. Remember the Time (Jackson/Teddy Riley/Bernard Belle) - 4:00
  13. Don't Stop 'til You Get Enough - 6:02
  14. Wanna Be Startin' Somethin' - 6:02
  15. Heal the World - 6:24

HIStory Continues (Disc 2)[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo zote zimetungwa na Michael Jackson, kasoro zile zilizowekwa maelezo;

  1. Scream (kaimba na Janet Jackson) (Harris/Lewis/Jackson/Jackson/Giancarlo Dittamo) - 4:38
  2. They Don't Care About Us - 4:44
  3. Stranger in Moscow - 5:44
  4. This Time Around (akimsh. The Notorious B.I.G.) (René Moore/Dallas Austin/Bruce Swedien/Jackson/Wallace) - 4:20
  5. Earth Song - 6:46
  6. D.S. (akimsh. Slash) - 4:49
  7. Money - 4:41
  8. Come Together (Lennon/McCartney) - 4:02
  9. You Are Not Alone (R. Kelly) - 5:45
  10. Childhood (Theme from "Free Willy 2") - 4:28
  11. Tabloid Junkie (Harris/Lewis/Jackson) - 4:32
  12. 2 Bad (feat. Shaquille O'Neal) (Harris/Lewis/Jackson/O'Neal) - 4:49
  13. HIStory (Harris/Lewis/Jackson) - 6:37
  14. Little Susie - 6:13
  15. Smile (Charlie Chaplin) - 4:56

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. HIStory: Past, Present and Future, Book I. AllMusic. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.
  2. Hit Parade (1995). European charts. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  3. 3.0 3.1 Cámara Argentina de Productores de Fonogramas y Videogramas (1995). Argentinian certification. capif.org.ar. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-09-28. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  4. Australian Recording Industry Association (2004). ARIA Charts — Accreditations. aria.com.au. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  5. Australian Recording Industry Association. Criteria. aria.com.au. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  6. International Federation of the Phonographic Industry — Austria (19 Desemba 1996). Austrian certification (search). ifpi.at. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  7. 7.0 7.1 7.2 7.3 Recording Industry Association of Japan (2005). Standard for Certifying Awards of Countries (PDF). riaj.or.jp. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  8. Canadian Recording Industry Association (30 Novemba 1995). Canadian certification. cria.ca. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-08-11. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  9. Canadian Recording Industry Association. Criteria. cria.ca. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-11-24. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  10. International Federation of the Phonographic Industry (1996). IFPI Platinum Europe Awards. ifpi.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-03-27. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  11. International Federation of the Phonographic Industry. Criteria. ifpi.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-01-20. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  12. 12.0 12.1 International Federation of the Phonographic Industry — Finland (1997). Finnish certification. ifpi.fi. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-25. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  13. 13.0 13.1 Syndicat national de l'édition phonographique (1995). French certification. chartsinfrance.net. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  14. German Albums Chart (Search). charts-surfer.de (1995). Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  15. International Federation of the Phonographic Industry — Germany (1997). German certification. musikindustrie.de. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  16. International Federation of the Phonographic Industry (1995). Criteria (PDF). musikindustrie.de. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  17. Nederlandse Vereniging van Producenten en Importeurs van beeld-en geluidsdragers (1996). Dutch certification (search). nvpi.nl. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-02-16. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  18. International Federation of the Phonographic Industry — Norway (1995). Norwegian certification (search). ifpi.no. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  19. International Federation of the Phonographic Industry — Sweden (1995). Swedish certification (PDF). ifpi.se. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-05-21. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  20. 20.0 20.1 HitParade (1996). Swiss certification. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  21. Every Hit (Juni 1995). UK Albums Chart. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  22. British Phonographic Industry (1 Februari 1996). U.K. certification. bpi.co.uk. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.[dead link]
  23. Allmusic (1995). Billboard charts. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
  24. Recording Industry Association of America (12 Oktoba 1999). U.S. certification. riaa.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu HIStory: Past, Present and Future, Book I kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.