We're Almost There

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“We're Almost There”
“We're Almost There” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Forever, Michael
Imetolewa 1975
Muundo 7"
Imerekodiwa 1974, Hitsville West, Los Angeles, California
Aina Soul
Studio Motown
Mtunzi Brian Holland
Eddie Holland
Mtayarishaji Brian Holland
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"We're Almost There"
(1975)
"Just a Little Bit of You"
(1975)

"We're Almost There" ni wimbo wa mwaka wa 1975 uliotolewa kama single na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu unatoka katika albamu yake ya mwisho kutolewa na studio ya Motown, Forever, Michael. Wimbo huu umekuja tofauti na zile ya awali, humu amekuwa maarufu sana kwa sababu alikuwa akiimbia sauti ya juu na kubana. Kwa kufuatia hali ya sauti ya Jackson kubalehe, Motown wakajikuta na hali ngumu kutafuta maujanja yatakayomfaa Jackson, ambaye alikuwa akiimba kwa sauti kubwa kwa kipindi chake chote cha Motown (1969-1975).


Kazini[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu We're Almost There kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.