Ease on Down the Road

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Ease on Down the Road”
“Ease on Down the Road” cover
Single ya Diana Ross na Michael Jackson
kutoka katika albamu ya The Wiz: Original Motion Picture Soundtrack
Imetolewa 21 Septemba 1978
Muundo 7"
Aina R&B, soul
Urefu 3:19
Studio MCA
Mtunzi Charlie Smalls
Mtayarishaji Quincy Jones
Tom Bahler
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Just a Little Bit of You"
(1972)
"Ease on Down the Road"
(1978)
"You Can't Win (Pt. 1)"
(1978)
Mwenendo wa single za Diana Ross
"Lovin' Livin' and Givin'"
(1978)
"Ease on Down the Road"
(1978)
"Pops We Love You"
(1978)

"Ease On Down the Road" ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na wasanii wawili kati ya Diana Ross na Michael Jackson mnamo mwaka wa 1978. Wimbo ulishika nafasi ya 1 kwa wiki kadhaa. Kwa taarifa za Consumer Rapport, wimbo ulishika nafasi ya 19 kwenye chati za Hot Soul Singles na #42 kwenye chati za Hot 100.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Whitburn, Joel (2004). Top R&B/Hip-Hop Singles: 1942-2004. Record Research. p. 132. 


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ease on Down the Road kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.