Will You Be There

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Will You Be There”
“Will You Be There” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Dangerous
B-side "Man in the Mirror"
"Girlfriend"
Imetolewa Julai 1993
Muundo CD single
Imerekodiwa 1991
Aina Injili, Soul [1]
Urefu 7:35 (toleo la albamu)
5:22 (Edit)
3:39 (Hariri la Redio)
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson
Bruce Swedien
Certification Dhahabu (RIAA), (RIANZ)
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Give in to Me"
(1993)
"Will You Be There"
(1993)
"Gone Too Soon"
(1993)

"Will You Be There" ni wimbo wa Michael Jackson ambao ulitolewa kama single mnamo mwaka wa 1993. Kibao hiki kimetolewa kutoka kwenye albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous na pia umeonekana kama kibwagizo kwenye filamu ya Free Willy.

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Will You Be There" (Edit) – 5:22
  2. "Man in the Mirror" – 5:15
  3. "Girlfriend" – 3:04
  4. "Will You Be There" (Album version) – 7:40

Mamixi[hariri | hariri chanzo]

  1. Album version – 7:40
  2. Edit – 5:22
  3. Radio edit – 3:39
  4. Instrumental - 3:25[2]

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1993) Nafasi
Iliyoshika
Austrian Singles Chart 10
Canadian Singles Chart 3
Dutch Singles Chart 3
Eurochart Hot 100 Singles 7
French Singles Chart 29
German Singles Chart 12
Irish Singles Chart 3
Israeli Singles Chart 4
New Zealand RIANZ Singles Chart 2
Swiss Singles Chart 11[3]
UK Singles Chart 8
US Billboard Hot 100 7
US Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks 53
US Billboard Hot Adult Contemporary Tracks 5
Chati (2009) Nafasi
Iliyoshika
Australian Singles Chart 42[4]
Austrian Singles Chart 21
Danish Singles Chart 14
German Singles Chart 26
New Zealand Singles Chart 29[5]
Swedish Singles Chart 22
Swiss Singles Chart 3[3]
UK Singles Chart 51[6]
U.S. Billboard Hot Digital Songs 10[7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Dangerous. Sputnik. Iliwekwa mnamo 2009-06-21.
  2. THE JACKSONFAMILY-DATABASE - Michael Jackson. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-12-14. Iliwekwa mnamo 2009-07-25.
  3. 3.0 3.1 Swiss Singles Chart Archives. hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
  4. Australian Singles Chart. Australian Record Industry Association. Iliwekwa mnamo 14 Julai 2009.
  5. New Zealand Singles Chart. RIANZ. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 14 Julai 2009.
  6. UK Singles Chart. The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
  7. U.S. Billboard Hot Digital Songs. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-05-29. Iliwekwa mnamo 2009-07-25.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Will You Be There kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.