Ziwa Sulunga
Mandhari
6°5′S 35°11′E / 6.083°S 35.183°E
Ziwa Sulunga (kwa Kiingereza pia: Bahi Swamp) ni kati ya maziwa madogo ya Tanzania.
Linapatikana katika mkoa wa Singida.
Mito inayolichangia zaidi ziwa hilo ni mto Bubu na mto Mponde, lakini mara nyingine linakauka kabisa.
Hatari mpya kwake ni upatikanaji wa madini kandokando, kama vile uranium, dhahabu na labda hata almasi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Sulunga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |