Nenda kwa yaliyomo

Waithaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waithaka ni kata ya kaunti ya Nairobi, mji mkuu wa Kenya, katika eneo bunge la Dagoretti Kusini.