Universities' Mission to Central Africa
Mandhari
(Elekezwa kutoka The Universities' Mission to Central Africa)
Universities' Mission to Central Africa, kwa kifupi "UMCA", (1857 - 1965) ilikuwa jumuiya ya wasomi iliyoanzishwa na wanachama wa Kanisa la Anglikana katika vyuo vikuu vya Oxford, Cambridge, Durham na Dublin.
Kutokana na wito wa mmisionari David Livingstone, jumuiya hii ilianzishwa katika ya Waanglikana wenye mwelekeo wa Kikatoliki, nayo iliunda vituo vya uaskofu huko Zanzibar na Nyasaland (baadaye Malawi) na kuanzisha mafunzo ya wachungaji wa Kiafrika.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- A.E.M. Anderson-Morshead [1845-1928], The History of the Universities’ Mission to Central Africa 1859-1898, 2nd edn. London: Office of the Universities’ Mission to Central Africa, 1899. Hbk. pp.494.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Universities' Mission to Central Africa kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |