Sikukuu ya msalaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Picha takatifu ya Gury Nikitin, 1680 kuhusu sikukuu ya kutukuka kwa msalaba (kutoka Yaroslavl, leo katika Tretyakov Gallery, Moscow, Urusi).

Sikukuu ya msalaba ni adhimisho la liturujia ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo wa mashariki na vilevile ya Ukristo wa magharibi, ingawa tarehe zinatofautiana.

Lengo ni kutukuza chombo cha wokovu kilichotumiwa na Mungu kadiri ya imani ya dini hiyo, yaani Yesu Kristo aliyeuawa juu ya msalaba huko Yerusalemu mwaka 30 hivi.

Wakati Ijumaa Kuu inalenga zaidi mateso ya Yesu, Mwanakondoo wa Mungu aliyeondoa dhambi ya ulimwengu, sikukuu hiyo inashangilia utukufu wa fumbo hilo, ambalo Mtume Paulo alilitangaza kuwa kwake fahari yake pekee.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
ChristianitySymbol.PNG Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sikukuu ya msalaba kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.