Nenda kwa yaliyomo

Riruta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Riruta ni kata ya Nairobi, mji mkuu wa Kenya, katika eneo bunge la Dagoretti Kusini.