Pietermaritzburg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Pietermaritzburg
Skyline ya Pietermaritzburg
Pietermaritzburg is located in Afrika Kusini
Pietermaritzburg
Pietermaritzburg
Mahali pa mji wa Pietermaritzburg katika Afrika Kusini
Viwianishi: 29°36′36″S 30°23′24″E / 29.61°S 30.39°E / -29.61; 30.39
Nchi Afrika Kusini
Majimbo KwaZulu-Natal
Idadi ya wakazi
 - 857,612
Tovuti: www.pietermaritzburg.co.za
UKZN, Pietermaritzburg Chuo Kikuu

Pietermaritzburg ni mji mkuu wa jimbo la KwaZulu-Natal katika Afrika Kusini. Ulikuwa na wakazi 230,000 mwaka 1991 waliongezeka na kukadiriwa kuwa karibu nusu milioni. Chuo Kikuu cha KwaZulu-Natal inafanya kazi yake Pietermaritzburg pamoja na mjini Durban. Wenyeji huuita mji mara nyingi kwa kifupi "Maritzburg" au "PMB" (tamka:pi-em-bi).

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mji ulianzishwa na walowezi makaburu mnamo mwaka 1839. Jina lakumbusha viongozi wao Pieter Retief na Gerrit Maritz. Ilikuwa mji mkuu wa Jamhuri ya Natalia hadi kutwaliwa na Waingereza mwaka 1843 na kuwa mji mkuu wa koloni ya kiingereza ya Natal.

Baada ya uchaguzi huru wa 1994 Pietermaritzburg na Ulundi zilikuwa zote mbili miji mikuu ya KwaZulu-Natal. Baada ya ushindi wa ANC (African National Congress) jimbonio mwaka 2004 Pietermaritzburg ilikuwa mji mkuu wa pekee jimboni.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

SouthAfricanStub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pietermaritzburg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.