Uwanja wa ndege wa Mwanza
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mwanza Airport)
Uwanja wa ndege wa Mwanza English: Mwanza Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: MWZ – ICAO: HTMW – WMO: 63756 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Mwanza, Tanzania | ||
Kitovu cha | Auric Air | ||
Mwinuko Juu ya UB |
3,763 ft / 1,147 m | ||
Anwani ya kijiografia | 02°26′40″S 32°55′57″E / 2.44444°S 32.93250°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
12/30 | 3,010 | 9 875 | Lami |
Takwimu (2007) | |||
Idadi ya abiria | 234,870 | ||
Tani za mizigo | 4,983 |
Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Mwanza ni uwanja mkubwa wa ndege kwa miji ya karibu na nchi za jirani iliyoko jijini la Mwanza nchini Tanzania (IATA: MWZ, ICAO: HTMW). Uwanja huu ni kitovu kikuu cha Auric Air na Delavia- Far East Airways, na pia kitovu kidogo kwa aajili ya Precision Air na Air Tanzania
Makampuni ya ndege na vifiko
[hariri | hariri chanzo]Yabebayo Abiria
[hariri | hariri chanzo]Makampuni ya ndege | Vifiko |
---|---|
Air Tanzania | Arusha, Dar Es Salaam, Kigoma |
Auric Air | Bukoba, Tabora, Rubondo, Dar es salaam, Mbeya, Iringa, Kigoma, Songea, Pemba, Tanga, Zanzibar, Mbeya, Ndutu, Sumbawanga |
Coastal Aviation | Arusha, Dar es Salaam, Fort Ikoma, Grumeti, Kigali, Klein's Camp, Kogatende, Lobo, Manyara, Ngorongoro, Pemba, Sasakwa, Seronera, Southern Serengeti, Tanga, Tarime, Zanzibar |
Delavia - Far East Airways | Bukoba, Karasabai, Kigoma |
Fly540 | Bujumbura, Dar es Salaam, Kilimanjaro, Nairobi-Jomo Kenyatta, Zanzibar |
JetLink Express | Dar es Salaam [expected], Kisumu, Mombasa [expected], Nairobi-Jomo Kenyatta |
Kenya Airways | Kilimanjaro, Nairobi-Jomo Kenyatta [all codeshare flights (with Precision Air)] |
Kilwa Air | Bukoba, Entebbe |
Precision Air | Bukoba, Dar es Salaam, Entebbe, Kigoma, Kilimanjaro, Musoma, Nairobi-Jomo Kenyatta, Shinyanga |
Yabebayo Mzigo
[hariri | hariri chanzo]Makampuni ya ndege | Vifiko |
---|---|
Astral Aviation | Nairobi-Jomo Kenyatta |
Avia Traffic Company | Dar es Salaam |
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |