Nenda kwa yaliyomo

Muungano Tukufu (Kenya)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Mawaziri wa Kenya's katika Muungano_Tukufu [1] [2]

Wizara Waziri Chama
Rais wa Kenya Mwai Kibaki Party of National Unity (PNU)
Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga Orange Democratic Movement (ODM)
Makamu wa Rais wa Kenya Kalonzo Musyoka Wiper Democratic Movement
Naibu wa Waziri Mkuu Uhuru Kenyatta Kenya African National Union (KANU)
Naibu wa Waziri Mkuu Musalia Mudavadi Orange Democratic Movement (ODM)
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Githu Muigai
Utawala wa Wilaya na Usalama wa Taifa George Saitoti Party of National Unity (PNU)
Wizara ya Ulinzi Mohamed Yusuf Haji Kenya African National Union (KANU)
Wizara ya Mipango Maalum Esther Murugi PNU
Wizara ya Uhamiaji na Usajili wa Watu Otieno Kajwang Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Turathi na Utamaduni wa Kitaifa William Ole Ntimama Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Kilimo Sally Kosgei Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Vyama vya Ujamaa na Masoko Joseph Nyagah Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Nchi kwa ajili ya Utumishi wa Umma Dalmas Otieno Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Amason Kingi Jeffa Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Elimu Mutula Kilonzo Wiper Democratic Movement
Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknologia Margaret Kamar Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Nishati Kiraitu Murungi PNU
Wizara ya Mazingira na Madini Chirau Ali Mwakwere PNU
Wizara ya Fedha Robinson Njeru Githae PNU
Wizara ya Viwanda Amason Kingi Jeffa Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Maswala ya Kigeni Sam Ongeri PNU
Wizara ya Vijana na Michezo Paul Otuoma ODM
Wizara ya Afya ya Umma na Usafi wa Mazingira Beth Mugo PNU
Wizara ya Huduma za Kiafya Peter Anyan Nyong'o Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Habari na Mawasiliano Samuel Poghisio Orange Democratic Movement-Kenya (ODM Kenya)
Wizara ya Sheria, Muungano na Mambo ya Katiba Eugene Wamalwa PNU
Wizara ya Kazi na Maendeleo ya Rasilimali ya Binadamu John Kiyonga Munyes PNU / FORD-Kenya
Wizara ya Ardhi James Orengo Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Barabara Franklin Bett Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Huduma za Umma Chris Obure Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo Mohamed Abdi Kuti PNU
Wizara ya Maendeleo ya Uvuvi Amason Kingi Jeffa Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Serikali za Mitaa Musalia Mudavadi Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Mipango ya Kiuchumi na Maono ya 2030 Wycliffe Oparanya Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Mamlaka ya Maendeleo ya Mkoa Fred Gumo Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Mambo ya Jinsia na Watoto Naomi Shaaban PNU
Wizara ya Utalii Dan Mwazo Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Biashara na Viwanda Moses Wetangula PNU
Wizara ya Usafiri Amos Kimunya PNU /
Wizara ya Maji na Umwagiliaji Charity Ngilu Orange Democratic Movement (ODM)
Wizara ya Makazi Soita Shitanda PNU
Wizara ya Mambo ya Misitu wa Wanyamapori Noah Wekesa PNU
Wizara ya Maendeleo ya Mji mkuu wa Nairobi Jamleck Kamau PNU
Wizara ya Mambo ya Kindani Kalonzo Musyoka Wiper Democratic Movement
Wizara ya Maendeleo ya Kaskazini mwa Kenya na kwingine penye ardhi Kame Ibrahim Elmi Mohamed Orange Democratic Movement (ODM)
  1. [3] ^ Serikali ya Muungano ya Taifa yKenyan opinion, analysis and debate - Analyse this, the New Cabinet
  2. [4] ^ Tumaini ipo kutokana na kukutana kwa Kibaki na Raila http://www.nation.co.ke/News/-/1056/594058/-/u66wd0/-/index.html