Nenda kwa yaliyomo

Mohamed Yusuf Haji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maxamed Yuusuf Xaaji

Mohamed Yusuf Haji (kwaKisomali: Maxmed Yuusuf Xaaji; 23 Desemba 1940 - 15 Februari 2021) alikuwa mwanasiasa wa Kenya. Pia alikuwa waziri wa ulinzi wa Kenya kuanzia 2008 hadi 2013, na alihudumu kwa muda mfupi kama kaimu waziri wa usalama wa ndani na masuala ya kieneo mnamo 2012.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Weekly Review. Stellascope Limited. 1997. uk. 200. Iliwekwa mnamo 10 Juni 2014.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)