Nenda kwa yaliyomo

Sally Kosgei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dk. Sally Jepng'etich Kosgey (alizaliwa 1949) ni mwanasiasa wa Kenya,mwanachama wa ODM na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Aldai katika bunge la kitaifa la Kenya katika uchaguzi wa wabunge wa 2007.[1]

  1. "Alliance Girls High School: Historical Perspectives". Alliancegirlshigh.com. 1948-02-28. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-03. Iliwekwa mnamo 2011-08-09.