Tofauti kati ya marekesbisho "Bamba la gandunia"

Jump to navigation Jump to search
582 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
d (Roboti: Imeondoa: zh,pt,pl,sk,ru,fr,es,ms,fi,et,de,sl,ja,bn,cs,nl,ar,sv (strongly connected to sw:Gandunia))
No edit summary
[[Image:Mabamba gandunia (tectonic plates).png|thumb|350px|Mabamba gandunia ya dunia yetu]]
'''Bamba gandunia''' ni kipandejina kikubwakwa chavipande [[gandavinavyofanya lasehemu dunia]].ya Hojanje laya sayansidunia kuhusuyetu. [[gandunia]]Sehemu nihii ya kwambanje huitwa [[ganda la dunia]] limevunjikana kwachini vipandeyake mbalimbalikuna vinavyoitwasehemu mabamba.ya Kiladunia bambaambayo lapakanani najoto mabambakiasi mengine.ya Mabambakwamba yasukumwamiamba na mikondoelementi yazote motozinapatikana chinikatika yaohali kamaya majanigiligili yanayokaayaani usonikuyeyushwa. waHii majisehemu inayoanzaya kuchemkanje katikaya sufuria.dunia Hivyosi kilakipande bambakimoja linabali mwendokuna wakevipande wambalimbali pekeekandokando pamojavinavyoelea najuu auya dhidimata ya mabambamoto ndani mengineyake.
 
Gandunia<ref>neno gandunia si kawaida bado, tunafuata hapo kamusi ya [[KAST]].</ref> ni elimu kuhusu ganda la dunia. Hoja la sayansi kuhusu [[gandunia]] ni ya kwamba ganda la dunia limevunjika kwa vipande mbalimbali vinavyoitwa mabamba. Kila bamba lapakana na mabamba mengine. Mabamba yasukumwa na mikondo ya moto chini yao kama majani yanayokaa usoni wa maji inayoanza kuchemka katika sufuria. Hivyo kila bamba lina mwendo wake wa pekee pamoja na au dhidi ya mabamba mengine. [[Tetemeko la ardhi]] ni dalili ya kwamba mabamba yamesuguana na hivyo kusababisha mishtuko tunayojua kama tetemeko la ardhi.
 
Mabamba haya ni sehemu ya nje ya [[tabakamwamba]] (lithosferi). Tabaka hili limevunjika katika vipande vikubwa 7 na vingine vidogo vinavyoelea juu ya tabaka lenye hali ya kiowevu chenye mnato mzito.

Urambazaji