Nenda kwa yaliyomo

Bamba la Ulaya-Asia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mabamba gandunia ya dunia yetu

Bamba la Ulaya-Asia ni bamba la gandunia kubwa katika ganda la dunia. Inabeba sehemu kubwa ya bara za Ulaya na Asia isipokuwa Bara Hindi na mashariki mwa Siberia si sehemu zake. Kwa lugha nyingine inawezekana kusema inabeba Eurasia.

Limepakana na bamba la Amerika Kaskazini, bamba la Australia, bamba la Uhindi, bamba la Uarabuni na bamba la Afrika.

Makala hii kuhusu "Bamba la Ulaya-Asia" inatumia neno au maneno ambayo si ya kawaida; matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.