Nenda kwa yaliyomo

Bamba la Uarabuni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bamba la Uarabuni (njano) kati ya mabamba gandunia ya dunia yetu.

Bamba la Uarabuni ni kati ya mabamba madogo ya gandunia ya dunia yetu. Lipo chini ya rasi ya Uarabuni hadi Uturuki na tako la bara.

Bamba hilo limepakana na

Bamba la Uarabuni lilikuwa sehemu ya bamba la Afrika hadi kuachana nalo takriban miaka milioni 30 iliyopita. Lina mwendo wa polepole kuelekea Uturuki - Ulaya.

Makala hii kuhusu "Bamba la Uarabuni" inatumia neno au maneno ambayo si ya kawaida; matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.