Wasuni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza ky:Сунниттер
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Islam by country.png|thumbnail|300px|Nchi za Waislamu wengi na madhehebu<br />Kibichi: Wasunni wengi; Nyekundu: Washia wengi]]
[[Picha:Islam by country.png|thumbnail|300px|Nchi za Waislamu wengi na madhehebu<br />Kibichi: Wasunni wengi; Nyekundu: Washia wengi]]
{{Islam}}
'''Wasunni''' ni [[dhehebu]] kubwa ndani ya dini ya [[Uislamu]]. Takriban asilimia 80 - 90 za Waislamu wote duniani hukadiriwa kuwa Wasunni na wengine 10-20 % huhesabiwa kati ya [[Washia]].
'''Wasunni''' ni [[dhehebu]] kubwa ndani ya dini ya [[Uislamu]]. Takriban asilimia 80 - 90 za Waislamu wote duniani hukadiriwa kuwa Wasunni na wengine 10-20 % huhesabiwa kati ya [[Washia]].


Wasunni huitwa kwa Kiarabu '''ahl ul-sunna''' ([[Kiarabu]]: '''أهل السنة'''; "watu wa mapokeo"). Neno Sunni hutokea kutoka kwa neno [[sunna]] (Kiarabu : '''سنة''' ) inayomaanisha mapokeo ya [[Mtume Muhammad]].
Wasunni huitwa kwa Kiarabu '''ahl ul-sunna''' ([[Kiarabu]]: '''أهل السنة'''; "watu wa mapokeo"). Neno Sunni hutokana na neno [[sunna]] (kwa Kiarabu : '''سنة''' ) inayomaanisha [[mapokeo]] ya [[Mtume Muhammad]].


Isipokuwa Uajemi, Iraki, Bahrain, Azebaijan, Yemen, Omani na Lebanoni kundi kundi kubwa katika nchi zote penye Waislamu wengi.
Isipokuwa [[Uajemi]], [[Iraki]], [[Bahrain]], [[Azerbaijan]], [[Yemen]], [[Omani]] na [[Lebanoni]] kundi hilo ni kubwa katika nchi zote penye Waislamu wengi.


== Historia ==
== Historia ==
Mstari 13: Mstari 14:


Walimu wengine hasa katika kikundi cha [[Wawahabi]] kilichoanzishwa kati ya Wahanbali kimekaza mafundisho yake hadi kuwashtaki wengine kuwa si Waislamu wa kweli.
Walimu wengine hasa katika kikundi cha [[Wawahabi]] kilichoanzishwa kati ya Wahanbali kimekaza mafundisho yake hadi kuwashtaki wengine kuwa si Waislamu wa kweli.



== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==

Pitio la 14:05, 27 Julai 2012

Nchi za Waislamu wengi na madhehebu
Kibichi: Wasunni wengi; Nyekundu: Washia wengi
Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya

Uislamu

Imani na ibada zake

Umoja wa Mungu
Manabii
Misahafu
Malaika
Uteule
Kiyama
Nguzo za Kiislamu
ShahadaSwalaSaumu
HijaZaka

Waislamu muhimu

Muhammad

Abu BakrAli
Ukoo wa Muhammad
Maswahaba wa Muhammad
Mitume na Manabii katika Uislamu

Maandiko na Sheria

Qur'anSunnahHadithi
Wasifu wa Muhammad
Sharia
Elimu ya Sheria za KiislamuKalam

Historia ya Uislamu

Historia
SunniShi'aKharijiyaRashidunUkhalifaMaimamu

Tamaduni za Kiislamu

ShuleMadrasa
TauhidiFalsafaMaadili
Sayansi
SanaaUjenziMiji
KalendaSikukuu
Wanawake
ViongoziSiasa
Uchumi
UmmaItikadi mpyaSufii

Tazama pia

Uislamu na dini nyingine
Hofu ya Uislamu

Wasunni ni dhehebu kubwa ndani ya dini ya Uislamu. Takriban asilimia 80 - 90 za Waislamu wote duniani hukadiriwa kuwa Wasunni na wengine 10-20 % huhesabiwa kati ya Washia.

Wasunni huitwa kwa Kiarabu ahl ul-sunna (Kiarabu: أهل السنة; "watu wa mapokeo"). Neno Sunni hutokana na neno sunna (kwa Kiarabu : سنة ) inayomaanisha mapokeo ya Mtume Muhammad.

Isipokuwa Uajemi, Iraki, Bahrain, Azerbaijan, Yemen, Omani na Lebanoni kundi hilo ni kubwa katika nchi zote penye Waislamu wengi.

Historia

Wasunni hufuata mwelekeo wa Uislamu ulioanzishwa na ukhalifa wa Abu Bakr na kutokubali uongozi wa familia ya Mtume Muhammad kupitia Ali, Hassan na Husain.

Madhehebu ya Wasunni

Kati ya Wasunni kuna madhehebu nne zinazotofautiana kiasi kuhusu mafundisho ya sharia au sheria ya kidini ya Kiislamu. Ndio Wahanafi, Wamaliki, Washafii na Wahanbali. Kwa jumla Wasunni hukubaliana ya kwamba madhehebu haya yote manne ni sawa.

Walimu wengine hasa katika kikundi cha Wawahabi kilichoanzishwa kati ya Wahanbali kimekaza mafundisho yake hadi kuwashtaki wengine kuwa si Waislamu wa kweli.

Viungo vya Nje