Sunna
Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya |
Imani na ibada zake |
Umoja wa Mungu |
Waislamu muhimu |
Abu Bakr • Ali |
Maandiko na Sheria |
Qur'an • Sunnah • Hadithi |
Historia ya Uislamu |
Historia |
Tamaduni za Kiislamu |
Shule • Madrasa |
Tazama pia |
Sunna (pia sunnah, kutoka Kiarabu : سنة, neno linalomaanisha "mila", "mapokeo" au "njia". [1]) Kwa Waislamu, Sunnah inamaanisha "njia ya mtume Muhammad"[2].
Wasomi Waislamu wanajifunza juu ya Sunna kwa kusoma hadithi elfu kadhaa juu ya Muhammad, familia yake, na wafuasi wake wa kwanza. Haditho hizi zinaitwa Hadith.
Jina la dhehebu kubwa katika Uislamu ni Wasunni, nalo limetokana na neno sunna, kwa maana ni waumini wanaolenga kufuata sunna ya mtume wao.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Juynboll, G.H.A. (1997). "Sunna". In P. Bearman; Th. Bianquis; C.E. Bosworth; E. van Donzel; W.P. Heinrichs (eds.). Encyclopaedia of Islam. 9 (2nd ed.). Brill. pp. 878–879.
- ↑ Qazi, M.A.; El-Dabbas, Mohammed Saʿid (1979). A Concise Dictionary of Islamic Terms. Lahore, Pakistan: Kazi Publications. p. 65.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- The Sunna as Primordiality by Sheikh Abdal Hakim Murad
- The Meaning of "Sunna" in the Qur’an, Qur'anic Studies
- Sunnah and Hadith Ilihifadhiwa 11 Mei 2017 kwenye Wayback Machine., Center For Muslim–Jewish Engagement
- Legislative Authority of Sunnah Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2019 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Uislamu bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |