Ludwig Erhard : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: thumb|right|350px|Ludwig Erhard. '''Ludwig Wilhelm Erhard''' (* 4 Februari, 1897 mjini Fürth; † 5 Mei, 1977 mjini Bonn) al...
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Rittner_ludwigerhard1974.jpg|thumb|right|350px|Ludwig Erhard.]]
[[Image:Rittner_ludwigerhard1974.jpg|thumb|right|350px|Ludwig Erhard]]

'''Ludwig Wilhelm Erhard''' (* [[4 Februari]], [[1897]] mjini [[Fürth]]; † [[5 Mei]], [[1977]] mjini [[Bonn]]) alikuwa [[siasa|mwanasiasa]] kutoka nchini [[Ujerumani]].
'''Ludwig Wilhelm Erhard''' (* [[4 Februari]], [[1897]] mjini [[Fürth]]; † [[5 Mei]], [[1977]] mjini [[Bonn]]) alikuwa [[siasa|mwanasiasa]] kutoka nchini [[Ujerumani]].


==Maisha==
==Maisha==
===Maisha ya awali===
===Maisha ya awali===
Erhard alizaliwa akiwa kama mtoto wa mfanya biashara. Baada ya kumaliza mtihani wake wa kati, akaanza kujifunza masuala uuzaji ili aje kuwa mfanyabiashara. Alijeruhiwa kama mwanajeshi wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], akaanza kusomea masuala ya uchumi katika chuo cha mjini [[Nuremberg]].
Erhard alizaliwa akiwa kama mtoto wa mfanyabiashara. Baada ya kumaliza mtihani wake wa kati, akaanza kujifunza masuala uuzaji ili aje kuwa mfanyabiashara. Alijeruhiwa kama mwanajeshi wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Baada ya vita, akaanza kusomea masuala ya uchumi katika chuo cha mjini [[Nuremberg]].

===Maisha ya baadaye===
===Maisha ya baadaye===
Baada ya hapo, akajiendeleza zaidi kusomea masuala ya uchumi katika [[Frankfurt am Main|Chuo Kikuu cha Frankfurt am Main]]. Baada ya kumaliza masomo yake, akawa anafanya kazi katika kampuni ya baba yake. Baada ya '''Great Depression''', kampuni ya baba yake ikafirisika.
Baada ya hapo, akajiendeleza zaidi kusomea masuala ya uchumi katika [[Frankfurt am Main|Chuo Kikuu cha Frankfurt am Main]]. Baada ya kumaliza masomo yake, akawa anafanya kazi katika kampuni ya baba yake. Baada ya [[Mdororo Mkuu]], kampuni ya baba yake ikafirisika.


Kuanzia [[1928]] hadi [[1942]], alikuwa akifanya kazi kama mwanasayansi msaidizi, lakini hakupata changamoto kwa kuwa alikuwa hataki kuwa mmoja kati ya wanajumuia ya Wanazi. Kuanzia [[1942]] hadi [[1945]], alikuwa Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Viwanda.
Kuanzia [[1928]] hadi [[1942]], alikuwa akifanya kazi kama mwanasayansi msaidizi, lakini hakupata changamoto kwa kuwa alikuwa hataki kuwa mmoja kati ya wanajumuia ya Wanazi. Kuanzia [[1942]] hadi [[1945]], alikuwa Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Viwanda.


Toka [[1949]], alifanya kazi na chama cha CDU, lakini sana-sana kwenye 1963. kuanzia [[1945]] hadi [[1946]], alijunga na serikali ya ugawaji wa [[Bavaria]], baada ya hapo alikuwa ofisa wa uchumi wa Shirika Tawala za Kiingereza-Kimarekani huko [[Ujerumani ya Magharibi|Magharibi mwa Ujerumani]].
Toka [[1949]], alifanya kazi na chama cha CDU, lakini sana-sana kwenye 1963. Kuanzia [[1945]] hadi [[1946]], alijiunga na serikali ya ugawaji wa [[Bavaria]], baada ya hapo alikuwa ofisa wa uchumi wa Shirika Tawala za Kiingereza-Kimarekani huko [[Ujerumani ya Magharibi|Magharibi mwa Ujerumani]].

Mnamo mwaka wa 1949, alikuwa Katibu wa Uchumi akiwa chini [[Konrad Adenauer]]. Kuanzia mwaka wa [[1957]] hadi 1963, alikuwa [[Machansela wa Ujerumani|Makamo wa Chansella]]. Baada ya Adenauer kujiuzulu mnamo mwaka wa [[1963]], Erhard akawa Chansela mpya wa Ujerumani. Mnamo mwaka wa [[1966]], [[Kurt Georg Kiesinger]] akampokea Bw. Ludwig Erhard.


Mnamo mwaka wa 1949, alikuwa Katibu wa Uchumi akiwa chini [[Konrad Adenauer]]. Kuanzia mwaka wa [[1957]]-1963, alikuwa [[Machansela wa Ujerumani|Makamo wa Chansella]]. Baada ya Adenauer kujiuzu mnamo mwaka wa [[1963]], Erhard akawa Chansela mpya wa Ujerumani. mnamo mwaka wa [[1966]], [[Kurt Georg Kiesinger]] akampokea Bw. Ludwig Erhard.
==Kifo chake==
==Kifo chake==
Ludwig Erhard alikuha kufariki dunia mnamo mwaka wa [[1977]] mjini [[Bonn]], [[Ujerumani]].
Ludwig Erhard alikuja kufariki dunia mnamo mwaka wa [[1977]] mjini [[Bonn]], [[Ujerumani]].

==Soma zaidi kuhusu Ludwig Erhard==
==Marejeo==
* Hentschel, Volker (1996) Ludwig Erhard: Ein Politikerleben. Berlin: Ullstein. ISBN 3-548-26536-7
* Mierzejewski, Alfred C. (2004) Ludwig Erhard: a biography. Chapel Hill, London: University of North Carolina Press. ISBN 0-8078-2863-7
* '''(de)''' Hentschel, Volker (1996) Ludwig Erhard: Ein Politikerleben. Berlin: Ullstein. ISBN 3-548-26536-7
* '''(en)''' Mierzejewski, Alfred C. (2004) Ludwig Erhard: a biography. Chapel Hill, London: University of North Carolina Press. ISBN 0-8078-2863-7

==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
{{commons}}
{{commons}}




{{Kanzler}}
{{Kanzler}}



{{BD|1897|1977|Erhard, Ludwig}}
{{BD|1897|1977|Erhard, Ludwig}}


{{DEFAULTSORT:Erhard, Ludwig}}
{{DEFAULTSORT:Erhard, Ludwig}}
[[Category:Waliozaliwa 1897]]
[[Category:Waliofariki 1977]]
[[Category:Mawaziri wa serikali ya Ujerumani]]
[[Category:Mawaziri wa serikali ya Ujerumani]]
[[Category:Wanasiasa wa Ujerumani]]
[[Category:Wanasiasa wa Ujerumani]]

Pitio la 14:52, 17 Septemba 2008

Ludwig Erhard

Ludwig Wilhelm Erhard (* 4 Februari, 1897 mjini Fürth; † 5 Mei, 1977 mjini Bonn) alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Ujerumani.

Maisha

Maisha ya awali

Erhard alizaliwa akiwa kama mtoto wa mfanyabiashara. Baada ya kumaliza mtihani wake wa kati, akaanza kujifunza masuala uuzaji ili aje kuwa mfanyabiashara. Alijeruhiwa kama mwanajeshi wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Baada ya vita, akaanza kusomea masuala ya uchumi katika chuo cha mjini Nuremberg.

Maisha ya baadaye

Baada ya hapo, akajiendeleza zaidi kusomea masuala ya uchumi katika Chuo Kikuu cha Frankfurt am Main. Baada ya kumaliza masomo yake, akawa anafanya kazi katika kampuni ya baba yake. Baada ya Mdororo Mkuu, kampuni ya baba yake ikafirisika.

Kuanzia 1928 hadi 1942, alikuwa akifanya kazi kama mwanasayansi msaidizi, lakini hakupata changamoto kwa kuwa alikuwa hataki kuwa mmoja kati ya wanajumuia ya Wanazi. Kuanzia 1942 hadi 1945, alikuwa Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Viwanda.

Toka 1949, alifanya kazi na chama cha CDU, lakini sana-sana kwenye 1963. Kuanzia 1945 hadi 1946, alijiunga na serikali ya ugawaji wa Bavaria, baada ya hapo alikuwa ofisa wa uchumi wa Shirika Tawala za Kiingereza-Kimarekani huko Magharibi mwa Ujerumani.

Mnamo mwaka wa 1949, alikuwa Katibu wa Uchumi akiwa chini Konrad Adenauer. Kuanzia mwaka wa 1957 hadi 1963, alikuwa Makamo wa Chansella. Baada ya Adenauer kujiuzulu mnamo mwaka wa 1963, Erhard akawa Chansela mpya wa Ujerumani. Mnamo mwaka wa 1966, Kurt Georg Kiesinger akampokea Bw. Ludwig Erhard.

Kifo chake

Ludwig Erhard alikuja kufariki dunia mnamo mwaka wa 1977 mjini Bonn, Ujerumani.

Marejeo

  • (de) Hentschel, Volker (1996) Ludwig Erhard: Ein Politikerleben. Berlin: Ullstein. ISBN 3-548-26536-7
  • (en) Mierzejewski, Alfred C. (2004) Ludwig Erhard: a biography. Chapel Hill, London: University of North Carolina Press. ISBN 0-8078-2863-7

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: