21 Julai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Julai 21)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 21 Julai ni siku ya 202 ya mwaka (ya 203 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 163.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 356 KK - Hekalu la Artemis mjini Efeso linateketezwa na moto
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1414 - Papa Sixtus IV
- 1899 - Ernest Hemingway, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1954
- 1923 - Rudolph Marcus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1992
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1967 - Albert Lutuli, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1960
- 2004 - Edward Lewis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1995
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Laurenti wa Brindisi, Vikta wa Marseille, Simeoni na Yohane, Prasede wa Roma, Arbogasti, Alberiko Crescitelli, Yosefu Wang Yumei n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 21 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |