Rudolph Marcus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Rudolph Marcus
Amezaliwa21 Julai 1923
Kazi yakemwanakemia kutoka nchi ya Kanada


Rudolph Arthur Marcus (amezaliwa 21 Julai 1923) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Kanada. Mwaka wa 1958 alipata uraia wa Marekani. Hasa alichunguza mwendo wa elektroni. Mwaka wa 1992 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rudolph Marcus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.