Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Othaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Othaya ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Eneo bunge la Othaya ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri.

Eneo Bunge la Othaya lina jumuisha tarafa ya Othaya ya Wilaya ya Nyeri.

Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Othaya ndio mji mkuu katika eneo bunge hili. Mwai Kibaki, rais wa zamani wa Kenya, alikuwa mbunge wa Othaya tangu mwaka wa 1974. Kabla ya hapo, alikuwa mbunge wa Eneo Bunge la Doonholm (kwa sasa ni Makadara).

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1966 Joseph P. Mathenge KANU Mfumo wa chama kimoja
1969 Kega Muthua KANU Mfumo wa chama kimoja
1974 Mwai Kibaki KANU Mfumo wa chama kimoja
1979 Mwai Kibaki KANU Mfumo wa chama kimoja
1983 Mwai Kibaki KANU Mfumo wa chama kimoja
1988 Mwai Kibaki KANU Mfumo wa chama kimoja
1992 Mwai Kibaki Democratic Party
1997 Mwai Kibaki Democratic Party
2002 Mwai Kibaki NARC DP
2007 Mwai Kibaki PNU

Kata na Wadi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya watu
Chinga 22,697
Iria-Ini 25,755
Karima 20,649
Mahiga 24,276
Jumla 93,377
}}
Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa Serikali ya Mtaa
Kanyange 1,162 Mji wa Othaya
Kianganda 1,962 Mji wa Othaya
Nduye River 2,727 Mji wa Othaya
Nyamari 3,464 Mji wa Othaya
Thuti 2,322 Mji wa Othaya
Chinga 12,758 Baraza la Mji wa Nyeri
Iria-Ini 8,020 Baraza la Mji wa Nyeri
Karima 6,097 Baraza la Mji wa Nyeri
Mahiga 7,585 Baraza la Mji wa Nyeri
Mumwe 5,691 Baraza la Mji wa Nyeri
Jumla 51,788
  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]