Eneo Bunge la Westlands

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha:Westlands Constituency (Kenya).jpg
Ramani ya eneo bunge la Westlands (Nairobi)

Eneo bunge la Westlands ni eneo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge nane ya Mkoa wa Nairobi. Lipo kwenye sehemu ya magharibi na kaskazini magharibi mwa maeneo ya Nairobi. Eneo bunge la Westlands lina mipaka sawa na Taarafa ya Westlands, Nairobi. Eneo la bunge hili lota liko ndani ya eneo la Baraza la Mji wa Nairobi. Ukubwa wa eneo bunge hili ni kilomita mraba 98 . Lilikuwa linajulikana kama Eneo bunge la Kaskazini mashariki mwa Nairobi katika uchaguzi wa mwaka wa 1963,kisha kama Eneo bunge la Parklands na tangu uchaguzi wa mwaka wa 1988, limejulikana kama eneo bunge la Westlands .

Eneo bunge la Westlands lina baadhi ya maeneo ya mapato ya juu mjini Nairobi, vilevile maeneo duni kama Kangemi.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Fitz Remedios Santana de Souza KANU
1969 Samuel Kivuitu KANU Mfumo wa chama kimoja
1974 Isaac Waweru KANU Mfumo wa chama kimoja
1979 Krishan Chander Gautama KANU Mfumo wa chama kimoja
1983 Samuel Kivuitu KANU Mfumo wa chama kimoja.
1988 Njoroge Mungai KANU Mfumo wa chama kimoja.
1992 Amin Walji KANU Walji alifariki akiwa mbunge[2]
1994 Fred Gumo KANU Uchaguzi mdogo
1997 Fred Gumo KANU
2002 Fred Gumo NARC
2007 Fred Gumo ODM Gumo 35,821; Tett 24,594; Mueke 5501; Pattni 4586

Taarafa na wadi[hariri | hariri chanzo]

Kata
Taarafa Idadi ya Watu
Highridge 65,268
Kangemi 82,964
Kilimani 61,290
Kitisuru 38,424
Lavington 26,540
Parklands 16,031
Jumla x
Septemba 2005 | [3],Cite error: Closing </ref> missing for <ref> tag

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Maeneo bunge yaliyo Nairobi