Kangemi
Kangemi ni kata ya Nairobi, mji mkuu wa Kenya, katika eneo bunge la Westlands[1].
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Locations and Wards. Westlands Constituency. Iliwekwa mnamo 15 April 2016.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kangemi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |