1 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Desemba 1)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Desemba ni siku ya 335 ya mwaka (ya 336 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 30.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1640 - Mfalme Yohane IV wa Ureno anamaliza kipindi cha maungano ya kifalme kati ya Ureno na Hispania; Ureno unakuwa nchi huru tena
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1925 - Martin Rodbell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1994
- 1951 - Jaco Pastorius, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1973 - Lombardo Boyar, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1981 - Khamis Mussa, mwigizaji na mwanamuziki kutoka Tanzania
- 1982 - Diego Cavalieri, mchezaji mpira kutoka Brazil
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1433 - Go-Komatsu, mfalme mkuu wa Japani (1392-1412)
- 1521 - Papa Leo X
- 2007 - Elisabeth Eybers, mwandishi wa Afrika Kusini
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu nabii Nahumu, Kastrisiani, Ajeriki, Eliji wa Noyon, Edmundi Campion, Rudolf Sherwin, Aleksanda Briant, Charles de Foucauld n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |