Lombardo Boyar
Mandhari
| Lombardo Boyar | |
|---|---|
| Amezaliwa | 1 Desemba 1973 El Paso, Texas, USA |
Lombardo Boyar (1 Desemba, 1973) ni mwigizaji wa Marekani. Anajulikana zaidi kwa kuigiza mara kwa mara kama Chuy katika kipindi cha The Bernie Mac Show, na pia kwa kutoa sauti ya Lars Rodriguez katika mfululizo wa Rocket Power.[1][2]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Home - el Paso Times". www.borderlandnews.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Machi 2005. Iliwekwa mnamo 12 Januari 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Samples of Lombardo Boyar's voice (Spanish and English)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-01. Iliwekwa mnamo 2012-10-14.
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lombardo Boyar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |