Nenda kwa yaliyomo

Leonsi wa Frejus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kanisa kuu la Fréjus limetolewa kwa Mt. Leonsi.

Leonsi wa Frejus (pia: Leontius, Léonce; labda Nimes[1], mwishoni mwa karne ya 4 - alifariki 488 hivi) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa Frejus (leo kusini mwa Ufaransa).

Aliunga mkono juhudi za Honorati wa Arles za kuanzisha monasteri katika kisiwa cha Lerins akampa upadirisho [2][3].

Yohane Kasiano, rafiki yake, alimtolea sehemu kubwa ya maandishi yake kuhusu umonaki[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Desemba.[5][6]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Goyau, Georges. "Fréjus." The Catholic Encyclopedia Vol. 6. New York: Robert Appleton Company, 1909
  2. "All that Remains of Forum Julii", The Gentleman's Magazine, Vol. 297, Bradbury, Evans, 1904, p. 294
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/80010
  4. Bennett, S.A., "Leontius (15)", A Dictionary of Christian Biography, (Henry Wace, ed.), London. John Murray. 1882
  5. Martyrologium Romanum
  6. December 1. Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.