Wikipedia ya Kiukraini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kisara | http://uk.wikipedia.org/ |
|---|---|
| Ya kibiashara? | Hapana |
| Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti |
| Kujisajiri | Optional |
| Lugha asilia | Kiukraini |
| Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Wikipedia ya Kiukraini (Kiukraini: Українська Вікіпедія au Ukrayins’ka Vikipediya) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiukraini. Makala yao ya kwanza iliandikwa mnamo tar. 30 Januari, 2004. Mnamo tar. 1 Oktoba 2005, imefikisha makala 20,000 na ndiyo Wikipedia ya 15 kwa ukubwa . Na kwa tar. 28 Machi ya 2008, imefikisha zaidi ya makala 100,000.
[hariri] Malengo
- January 30, 2004 — makala ya kwanza (Atom)
- April 4, 2004 — 1,000 makala
- October 1, 2005 — 20,000 makala
- October 15, 2006 — 30,000 makala
- November 12, 2006 — 40,000 makala
- January 16, 2007 — 50,000 makala
- May 17, 2007 — 60,000 makala
- September 9, 2007 - 70,000 makala
- December 13, 2007 - 80,000 makala
- January 24, 2008 - 90,000 makala
- March 28, 2008 - 100,000 makala
- July 13, 2008 - 120,000 makala
- December 21, 2010 - 250,000 makala
[hariri] Viungo vya Nje
- (Kiukraine) Ukrainian Wikipedia
Wikipedia ya Kiukraini ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
| Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiukraini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |