Wikipedia ya Kihaiti Kreole
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
![]() |
|
|---|---|
| Kisara | http://ht.wikipedia.org/ |
| Ya kibiashara? | Hapana |
| Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti |
| Kujisajiri | Hiari |
| Lugha asilia | Kihaiti Kreole |
| Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Wikipedia ya Kihaiti Kreole ni toileo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kihaiti Kreole. Wikipedia hii, ilianzishwa mnamo mwezi wa Agosti 2004, kwa tar. 21 Januari ya mwaka wa 2009, imefikisha makala 51,000, nakuiifanya liwe toleo la Wikipedia la 38 kwa ukubwa wa wingi wa hesabu ya makala (imeruka kutoka 47 mnamo Agosti 2008). Pia ni moja kati ya Wikipedia chache sana za lugha ya Kikreole.
Viungo vya Nje [hariri]
Wikipedia ya Kihaiti Kreole ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
- Statistics for Haitian Creole Wikipedia by Erik Zachte
| Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kihaiti Kreole kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
