Wikipedia ya Kikatala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kikatala
Wikipedia-logo-v2-ca.svg
Catalan Wikipedia.PNG
The Main Page of the Catalan Wikipedia.
Kisara http://ca.wikipedia.org/
Ya kibiashara? Hapana
Aina ya tovuti Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
Kujisajiri Hiari
Lugha asilia Kikatala
Mmiliki Wikimedia Foundation

Wikipedia ya Kikatala (Kikatala: Viquipèdia) ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kikatala. Wikipedia hii ilianzishwa mnamo tar. 16 Machi katika mwaka 2001 na imefikisha makala 150,000 kunako mwezi wa Desemba 2008. Wikipedia hii iliiumbwa mda mchache baada ya kutoka kwa toleo la Wikipedia isiyo ya Kiingereza (Wikipedia ya Kijerumani).

Licha ya kuwa ya pili kuumbwa baada ya Wikipedia ya Kijerumani, kwa takriban miezi miwili ilikuwa Wikipedia pekee isiyo ya Kiingereza kusheheni makala nyingi tangu kuanzishwa.[1] Na kwa katikati ya mwaka wa 2008, Wikipedia ya Kikatala ikawa ndiyo Wikipedia kubwa katika lugha za nchi.[2]

[hariri] Marejeo

[hariri] Tazama pia

Viquipèdia:Vint mil articles en català (Catalan). Wikipedia. Wikimedia Foundation (2005-12-06). Rudishwa juu ya 2006-06-24.

[hariri] Viungo vya Nje

Wikipedia
Wikipedia ya Kikatala ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kikatala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine