Wikipedia ya Kihispania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Wikipedia ya Kihispania
Wikipedia-logo-es.png
Spanish Wikipedia.png
Kisara http://es.wikipedia.org/
Ya kibiashara? Hapana
Aina ya tovuti Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
Kujisajiri Hiari
Lugha asilia Kihispania
Mmiliki Wikimedia Foundation

Wikipedia ya Kihispania (Kihispania: Wikipedia en Español) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kihispania. Ilianzishwa mnamo mwezi Mei, 2001. Mnamo tar. 8 Machi ya mwaka wa 2006, Wikipedia ya Kihispania imefikisha makala 100,000.

Kwa sasa, ni Wikipedia ya 9 kwa ukubwa kwa hesabu ya makala, inafuatiwa na Wikipedia ya Kisweden mnamo mwezi Aprili, 2007. Zamani ilikuwa Wikipedia ya 8 kwa ukubwa, hadi ilipofika mwezi wa Mei mwaka 2005 ikapitwa na Wikipedia ya Kireno kisha Wikipedia ya Kiitalia kunako mwezi wa Agosti 2005. Mnamo tar. 18 Novemba, 2007, Wikipedia ya Kihispania imefikisha makala 300,000.

[hariri] Tazama pia

[hariri] Viungo vya Nje

Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kihispania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine