Wikipedia ya Kiswidi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kisara | http://sv.wikipedia.org/ |
|---|---|
| Ya kibiashara? | Hapana |
| Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti |
| Kujisajiri | Hiari |
| Lugha asilia | Kiswidi |
| Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Wikipedia ya Kiswidi (Kiswidi: Svenskspråkiga Wikipedia au Svenska Wikipedia) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiswidi. Hili lilikuwa toleo la tatu la Wikipedia, ilianzishwa mnamo mwezi Mei, 2001, likiwa sambamba kabisa na toleo la Wikipedia ya Kijerumani, baada ya Wikipedia ya Kiingereza na Kikanada.
Hii ni Wikipedia ya kumi na moja kwa ukubwa wa wingi wa hesabu ya makala (baada ya toleo la Kiingereza, Kijerumani, Kifaransa, Kipoland, Kijapani, Kiholanzi, Kiitalia, Kireno, Kihispania, Kirusi) kwa kufikisha zaidi ya makala 300,000 kwa mwezi wa Desemba, 2008.
[hariri] Viungo vya Nje
Wikipedia ya Kiswidi ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
| Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiswidi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |