Wikipedia ya Kialbania
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
![]() |
|
|---|---|
| Kisara | http://sq.wikipedia.org/ |
| Ya kibiashara? | Hapana |
| Aina ya tovuti | Mradi wa kamusi elezo ya internet |
| Kujisajiri | Hiari |
| Lugha asilia | Kialbania |
| Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Wikipedia ya Albania (Kialbania: Wikipedia shqip) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kialbania. Wikipedia hii, ilianzishwa mnamo tar. 12 Oktoba 2003. Na kwa tar. 22 Aprili 2008, Wikipedia hii imevuka idadi ya makala zaidi ya 20,000[1][2]na ni Wikipedia ya 52 kwa ukubwa wa hesabu ya wingi wa makala.
Marejeo [hariri]
- Wikipedia Shqip (Albanian). Wikipedia. Wikimedia Foundation (2006-05-19). Rudishwa juu ya 2006-06-24.
- Shekulli. Ta shpëtojmë Wikipedian Shqipe. Die, 12 Gus 2007 08:57:00. Nga Ardian Vehbiu
- Tirana Observer. 15 shtetet që dikur ishin Bashkimi Sovjetik. Shkruar nga Blendina Cara e premte , 03 gusht 2007
- Tirana Observer. Epoka e Informacionit, e Skepticizmit dhe e Verifikimit. By Fatos TARIFA, PhD
Viungo vya nje [hariri]
Wikipedia ya Kialbania ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
