Wikipedia ya Kilithuania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Favicon of WikipediaWikipedia ya Kilithuania

Wikipedia ya Kilithuania ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kilithuania. Ni huru na kamusi elezo kubwa ya intaneti kwa lugha ya Kilithuania. Toleo hili lilifanya hatua yake ya kwanza mnamo mwaka wa 2003, lakini ilifikisha makala za uhakika kunako mwaka wa 2004. Mnamo tar. 14 Desemba 2005, Wikipedia ya Kilithuania, imefikisha idadi ya makala 10,000 na kunako tar. 26 Februari ya mwaka wa 2006, imefikisha tena kiwango cha makala 40,000[1]. Lengo lipya limefikiwa kunako tar. 1 Agosti 2007 - 50,000. Kwa sasa, Wikipedia ya Kilithuania ina makala zaidi ya 80,000[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. History on lithuanian Wikipedia. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-09-13. Iliwekwa mnamo 2021-01-17.
  2. Lithuanian Wikipedia, Retrieved 22 Januari 2009

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kilithuania ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kilithuania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.