Wikipedia ya Kiingereza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Favicon of Wikipedia English Wikipedia
Logo of the English Wikipedia
The Main Page of the English Wikipedia on 31 January 2009
Kisara http://en.wikipedia.org/
Ya kibiashara? Hapana
Aina ya tovuti Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
Kujisajiri Hiari
Mmiliki Wikimedia Foundation
Mwanzilishi Jimmy Wales na Larry Sanger

Wikipedia ya Kiingereza ni toleo la kamusi elezo la lugha ya Kiingereza la Wikipedia na ndilo toleo la kwanza kutolewa. Ilianzishwa mnamo tar. 15 Januari, 2001, ndiyo Wikipedia toleo lililokubwa kuliko matoleo yote. Ilivyofika mwezi Agosti ya mwaka wa 2008, Wikipedia ya Kiingereza imefikisha makala milioni 2.5 katika Wiki hiyo.

[hariri] Tazama pia

[hariri] Viungo vya Nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiingereza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine