Wikipedia ya Kiromania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kiromania
Wikipedia Romanian large logo.png
Picha:RomanianWikipedia 20071125.png
Kisara http://ro.wikipedia.org/
Ya kibiashara? Hapana
Aina ya tovuti Internet encyclopedia project
Kujisajiri Hiari
Lugha asilia Kiromania
Mmiliki Wikimedia Foundation

Wikipedia ya Kiromania (kifupi: ro.wiki au ro.wp[1]; kwa Kiromania: Wikipedia în limba română) ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kiromania.

Ilianzishwa mnamo mwezi wa Juni 2003, toleo hili lina makala takriban 100,000 (kwa mwezi wa Januari 2008) na ndiyo Wikipedia ya 16 kwa ukubwa. Mnamo mwezi wa Desemba 2004, watumiaji katika Wikipedia ya Kiromania walianza mjadala kuhusu kuanzisha ukurasa wa kwao wenyewe wa Wikimedia, Asociaţia Wikimedia România.


[hariri] Marejeo

  1. The article on this matter on the Romanian Wikipedia Kigezo:Ro icon

[hariri] Viungo vya Nje

Wikipedia
Wikipedia ya Kiromania ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru


WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wikipedia ya Kiromania" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Wikipedia ya Kiromania kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.